To Support Us Kindly See Below...
OUR TECHNICAL SKILLS EMPOWERMENT PROJECT
Kwenye technical skills kuna mashine kama za welding, aluminium, incubator, laboratories machines, carpentry, engines pamoja na cars parts kwa ajili ya mechanics, vifaa vya kujifunzia ujenzi wa majengo, elecctronics tools, electrical tools kwa ajili ya umeme wa nyumba, viwanda na magari, upishi kama mashine za baking, kukandia unga nk.


